KARAMA ZA ROHO
MH: PASTOR TARIMO SOMO: AINA ZA KARAMA ZA ROHO NA HUDUMA Bwana Yesu asifiwe ndugu yangu mpendwa msomaji wangu, MUNGU wangu wa Mbinguni akubariki sana kwa kuendelea kuwa nami. 1Korintho 12:1............ Basi ndugu kwa habari ya karama ................... Mtume Paulo anaongelea kwa habari ya KARAMA ZA ROHO ambazo Mungu ameziachilia kwa kanisa ili tu kuukamilisha utumishi kwa watu wake katika ulimwengu wa Roho na ule wa mwili. Ukiendeloea kusoma hadi mstr wa 11 utakutana na namna karama hizi za Roho zinavyofanya kazi kwa masaidizano chini ya uongozi wa ROHO MTAKATIFU. AINA ZA KARAMA ZA ROHO Ziko aina mbalimbali sana za Karama za Roho, lakini katika karama zote hizo zilizo kuu ni karama tisa. ...