Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2017

KUIKULIA IMANI

MH; EV. SAMSON JOHN SOMO; IMANI ILIYO THABITI               Tunapata maana za aina mbalimbali kuhusu neno hili imani, Mwandishi wa kitabu cha Waebrania 11;1 anasema kuwa Imani ni hakika ya mambo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana.              IMANA ni kutegemea, kusadiki, kutazama na kutumaini. Imani yoyote ile huambatana na uaminifu na kuamini kile unachodhania kuwepo kwake au kuwa. AINA YAIMANI             Katika ulimwengu huu kuna aina mbalimbali za imani ambazo tunaweza kuziweka ktk makundi yafuatayo-; [a] Imani ya asili {kibinadamu} [b] Imani ya kiroho {kiMungu} [c] Imani ya madhehebu  Imani yoyote ile ina chanzo chake, na utendaji kazi wake, chanzo cha imani yoyote ni kusikia. Hivyo inategemea umesikia nini na umesikia kwa nani.         ...