Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2017

MOYO ULIOJERUHIKA

MH; PASTOR OMERY DEO SOMO: THAMANI YA MOYO WAKO               Bwana Yesu Kristo asifiwe sana mtumishi wa MUNGU na mtenda kazi shambani mwake Bwana.  Nipende kuchukua nafasi hii kukufikishia ujumbe huu ambao Bwana amenipatia nikuletee wakati huu.               Ni muda mrefu nimekuwa nikitafakari j\sana juu ya kitu kinachoitwa MOYO, nikajaribu kulinganisha katika                MWA 1:26-27 Ambapo Mungu anasema ya kwamba "na tumfanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu....................."          Nikapiga picha juu ya kitu kinachoitwa moyo wa mwanadamu , nikajiuliza maswali mengi sana. Ndipo Bwana akasema nami ya kwamba MOYO ni kitu ambacho Mungu amekiumba na kukifanya kama makazi yake ndani ya mtu.           ...