ANAYESTAHILI KUABUDU NI YUPI?

MH:   EV. SAMSON JOHN
SOMO:  KUABUDU

            Kuabudu maana yake ni kitendo cha kumkaribia MUNGU au chochote kile kwa kukitukuza katika madhabahu ya aina yoyoyte ile. 
           Kwa maana nyingine twaweza kusema kuwa,kuabudu ni kufanya tendo la kifalme ktk madhabahu na kutoa dhabihu kimiungu.

     ISAY 43:7 `Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemuumba kwa ajili ya utukufu wangu., mimi nimemumba, naam, mimi mnimemfanya.

    
          Hapa tunaona namna ambavyo MUNGU mwenyewe anajitambulisha kwa watu wote kuwa yeye ndiye alliyewafanya na kuwaumba.

         Hivyo basi, kwa sababu hiyo,
Kila yeyote aliyeumbwa na kufanywa na MUNGU, anatakiwa kujua ni wapi anastahili kuelekeza ibada yake.

            Kwa maana nyingine, ni kwamba Mungu anatutaka watu wote tupate kumuabudu yeye pekee, HIVYO ANAYESTAHILI KUABUDU NI MTU YEYOTE YULE  ambaye anajua maana ya ibada, maana yake awe amefundishwa na kuelekezwa namna ya kuabudu na ni nani anayestahili kuabudiwa.

Wako wanadamu wengi hawajui namna ya kuabudu na n dio maana wanashindwa namna ya kubudu, wamejikuta wanalazimishwa kuingia ktk nyumba za ibada bila kujua umuhimu wa ibada.

ZABURI 100;1 Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote. 
Mtumikieni Bwana kwa moyo wa furaha, .................................

           Kumbe Mungu ndiye anayestahili kuabudiwa. Lakini pia kila mmoja aliyekombolewa na damu ya YESU yaani ameokolewa, ndiye anayestahili kuabudu,
kwa kumwabudu MUNGU wake akijua namna ambavyo amemfurahisha kwa kazi ya MSALABA.

    LUKA 1;74 Tunapaswa kumwabudu Bwana pasipo nhofu ya aina yoyote ile.
YOHN 4;23 Kumwabudu Bwana katika Roho na Kweli.

  Mwanadamu ambaye bado hajaokoka hawezi kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli, maana bado hajaifahamu KWELI ikamweka huru na wala haitambui'

 bali waliookolewa ndio wanaostahili kuabudu na kumwabudu MUNGU katika Roho na Kweli maana kweli iko ndani yao.

KUNA AINA MBALIMBALI ZA IBADA miongoni mwa hizo ni -:
1. Ibada za makusanyiko kwa ajili ya Mungu
2. Ibada ya Ubatizo
3. Ibada ya ushirika Mtakatifu au Meza ya Bwana
4. Ibada ya kubariki watoto
5. Ibada ya kubariki mazishi
6. Ibada ya hadhara au Mikutano ya Injili
7. Ibada ya Ndoa
.......................................................

Katika ibada zote hizi hutegemea madhabahu na uhusiano wa kati ya anayeabu na anayeabudiwa.

     MUNGU WANGU WA MBINGUNI AKUBARIKI BSANA MPENDWA WANGU,

Kwa leo naona niishie hapa tutaendelea wakati mwingine tena.............

Karibu sana katika kanisa la

HEMA YA SIFA TEGETA KIBAONI, NJIAPANDA YA TANESCO.

Maoni

  1. Nu-mi venea să cred că mă voi reîntâlni vreodată cu fostul meu, eram atât de traumatizată stând singur fără un corp care să stea lângă mine și să fie alături de mine, dar am fost atât de norocos că într-o zi l-am întâlnit pe doctorul DAWN, după ce i-am spus despre starea mea a făcut tot posibilul să-mi vadă prietenul revenind la mine, de fapt după ce a făcut vraja, Fostul meu iubit s-a întors la mine în mai puțin de 48 de ore, fostul meu iubit s-a întors implorându-mă că nu mă va părăsi niciodată din nou. 3 luni mai târziu ne-am logodit și ne-am căsătorit, dacă aveți aceeași situație. Este foarte puternic în treburile lui;
    * dragoste
    vrăji * vrăji de atracție
    * dacă îți dorești fostul înapoi
    * opriți divorțul
    * rup obsesiile
    * vindecă accidente vasculare cerebrale și toate bolile
    * vraja protectoare
    * probleme de infertilitate si sarcina
    * vraja de loterie
    * vraja norocoasa
    Contactați Dr. Ediomo pe e-mailul său: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp:+2349046229159

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUPIGA HATUA KUBWA ZAIDI KIROHO

WATUMISHI WA MUNGU TUSIDHARAULIANE

JE, UNAIJUA KARAMA YAKO? By Ev. Elimeleck S Ndashikiwe