Na Pas tor Omery Deo Shinze Mwanadamu ana mfumo wa pekee wa maisha au namna ya kuishi tofauti na viumbe wengine wote. Kila iitwapo leo, mwanad amu anayeishi anatamani kuwa na mabadiliko chanya , yaani maendeleo . Tunaporejea kiroho sasa, mwanadamu anahitaji kuchukua hatua ya juu zaidi kuendelea kiroho. VIWANGO VYA KUMJUA MUNGU vinatakiwa kuongezeka kila iitwapo Leo . Hautakiwi kuridhika na hatua uliyonayo au kiwango ulichomo, Mfano, kama ulikuwa ni muimbaji , usiishie tu KUIMBA bali baada ya hapo utoke sasa ukatabiri , ukahubiri , ukafungua vituo vya umishonari ( kanisa ) umtumikie mum kwa viwango vingine vya juu zaidi . MATHAYO 28:19 Hili ni agizo ku u la Kristo kwa kanisa . Mfano, mwanajeshi hadi mwanajeshi kamili huwa anaanzia hatua ndogo ndogo ndiposa baadaye huongeza mazoezi yaliyo bora au magumu zaidi ya yale ya mwanzo. Haijalishi umeomba dakika ngapi na MUNGU hajakujibu , wewe ong...
Maoni
Chapisha Maoni