BIBLE STUDY 8th DAY
PRE: BABU & BIBI
SOMO: KITABU CHA MATENDO YA MITUME SURA YA SITA {MDO 6}
Bwana Yesu Asifiwe ndugu yangu mpendwa,
unayeusoma ujumbe huu ikiwa ni mwendelezo wa masomo yanayoendelea hapa kanisani na walimu wetu'.
Matendo 6:1 ...................... Hata siku zikle wanafunzi walipokuwa wakiongezeka hesabu yao, palikuwa na manung`unikoo ya Wayahudi wa Kiyunani juu ya Waebrania kwa sababu wajane wao walisahauliwa katika huduma ya kila siku.
Katika kitabu hiki cha Matendo ya Mitume tunakutana na mambo kadha wa kadha ambayo yanatupatia ujumbe kamili kuhusiana na kile ambacho Mtumishi wa Mungu Paulo alichokuwa akikimaanisha na kukielezea.
MAMBO MUHIMU
1. Makuhani waliitii Injili
2, Wajane walisahauliwa
3. Walinung`unika
4. Walichagua uongozi kusimamia jambo hilo
5. Uso wa Stefano unakuwa kama wa Malaika
6. Stefano alijaa Neema na Uwezo
Tunajifunza juu zaidi ya Manung`uniko ya Wayahudi wa Kiyunani kuwanung`unikia Waebrania kwa sababu waliwatenga wanawake waliokuwa wamepoteza wapendwa wao {WAJANE}
Sehemu ya wanafunzi waliokuwa wameketi kwa utulivu wakifuatilia masomo yanayoendelea kufundishwa hapa kanisani!
Kwa kadri kanisa lilivyokuwa likizidi kuongezeka, ndivyo kulivyozidi kuenea kwa elimu ya kiMun gu zaidi,
ambapo mafundisho mbalimbali yalifundishwa ambayo yalikuwa yakipingana na mapokeo ya watu na mkafundisho myta uongo nyaliyofundiishwa kwa wayahudi hapo kwanza.
Ndipo hapa tunaona namna ambavyo msimamo wa makuhani au watumishi wa Mungu ulivyoonekana pale tu ambapo hawakukubali kumuaibisha Mungu na imani yao, kwa kuliacha Neno la Mungu na kwenda tu kuhudumu mezani.
VIONGOZI WACHAGULIWA KUSIMAMIA JAMBO HILO
Mdo 6:3-6 Basi ndugu, chagueni watu saba miong....................., ili tuwaweke juu ya jambo hili.
Ndipo sasa hapa tunaona anachaguliwa mtumishi wa Mungu Stefano, naye akzidi kuhudumu katika nafasi yake ile kama kiongozi aliyeaminiwa, na kwa kuwekewa mikono akajazwa na ROHO MTAKATIFU.
Tunasoma katika mstr huu wa nane {8] ambapo tunaona anavyotumika kwa wakati huo na kukutana na changamoto nyingi sana katika utumishi.
Akafanya maajabu na ishara kubwa sana kwa kuwa alikuwa amejaa
NEEMA NA UWEZO.
Mdo 6;9-13 Katika vifungu hivi hapa, tunaanza kuona namna STEFANO anapingwa na baadhi ya watu wa sinagogi la MAHURU, na la Wakirene, na la Waiskanderia, na la wale wa Kilikia na Asia.
Hawa watu walimpinga sana, hata wakatafuta mbi8nu za kuweza kumshtaki, wakamuandalia ushahidi wa uongo wakimsingiozia kuwa amemtukana
MUSA na MUNGU.
LAKINI HAWAKUWEZA KUSHIKNDANA NAYE KWA ILE HEKIMA NA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ILIYOKUWAMO NDANI YAKE.
Ndipo tunaona USO WAKE UNABADILIKA NA KUWA KAMA WA MALAIKA, hii ni baada ya wale Wayahudi wa Kiyunani na watu wote waliokuwepo mahali pale kumkazia macho sana kwa vile walivyokuwa wametaharakishwa juu yake,
lakini bado Nguvu za Roho Mtakatifu na Neema nyingi zilikuwa ziko juu yake.
Mungu wangu wa Mbinguni akubariki mpendwa wangu uliyefuatana nami katika mfululizo wa masomo yanayoendelea hapa kanisani ikiwa tunaendelea na kitabu cha
MATENDO YA MITUME.
Baada ya masomo kumalizika, maombi na maombezi ya ujazo wa Roho Mtakatifu yaliendelea. Na wengi karibia wote walijazwa nguvu
KARIIIIIIBU SANA HEMANI MWA BWANA,
HAPA KATIKA KANISA LA
PENTEKOSTE HEMA YA SIFA,
MAHALI HAPA PANATISHA KAMA NINI!
KWELI BWANA YUKO HAPA, ..............HAPA NI NYUMBA YA MUNGU ....... MWANZO 28:16-17.
By
Ev. Elimeleck S Ndashikiwe
Email; elimelck@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni