NI SOSPETER KORONGO + NAOMI MNUA WAANZA KAMPENI

 FOLENI KAMA KAWAIDA INATEMBEA


        Hongera sana kijana wetu, mtoto wetu wa nyumbani SOSPETER KORONGO na binti yetu NAOMI kwa uamuzi wenu wa baraka na wa kuigwa na kila kijana.

        'FOLENI INAZIDI KUTEMBEA' Hii ndiyo kauli ambayo kila kijana ukikutana naye utasikia akiitamka, hususani wale vijana ambao bado hawajaoa na kuolewa, ukiwauliza wataoa au kuolewa lini utawasikia wakikujibu hivyo kuwa 'FOLENI INATEMBEA-  Yaani bado naye yuko kwenye msafara, at any time atafikiwa zamu yake.
 
       Vijana waliotangaza uchumba wakipongezwa na vijana wenzao muda mchache baada ya kuvishana PETE YA UCHUMBA kanisani katika ibada.








   Sehemu ya waumini wa kanisa hilo katika ibada wakisimama kuwaombea vijana hao waliokuwa madhabahuni muda mchache baada ya kutangaza uchumba. [Picha na Ev. Elimeleck Ndashikiwe]





Ashukuriwe Mungu wa mbinguni kwa fadhili zake nyingi ambazo anazidi kuziachilia kwa vijana wake ndani ya kanisa KANISA LA HEMA YA SIFA.






PINGU ZA MAISHA.



 
Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee................................, .................................... ,
...........................................................piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...........,
HAKIKA FURAHA HAINA DARASA.


 Watoto nao hawakuwa nyuma wakiambatana na mwalimu wao ambaye pia ni mama mchungajio msaidizi wa kanisa hilo. Hakika haikuwa siku ya kawaida kabisa kwa wote waliobahatika kuwepo ibadani hapo.


Waumini wa kanisa hilo wakifuatilia shughuli yenyewe ya vijana wao ambao waliamua kuyaweka mambo yao hadharani kwa kutangaza uchumba mchana kweupeeeeeeeeee.
 

        Ibada hiyo ya kutangaza uchumba iliambatana pia na sherehe ya watoto ambao waliisherehesha ibada iliyokuwa ya baraka sana siku hiyo ya jmapili.   [Picha zote na Ev. Elimelck Ndashikiwe]



                       NB; Sisi kama kanisa, tunawatakia kilalaheri, Baraka za BWANA YESU ziwe pamoja nao katika mipango yao na safari ya kuiendea NDOA TAKATIFU
Vijana wote wemgine waiige njia hii takatifu ambayo inalipa kanisa heshima, pamoja na wazazi wao, na familia zao kwa ujumla.


            Karibuni katika ibada zetu kanisa la PENTEKOSTE HEMA YA SIFA- TEGETA KIBAONI.


AAAAAAAAMEEEEEEEN.................!

Maoni

  1. mungu akutie nguvu katka safar yako ya uchumba na ndoa kiujumla

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUPIGA HATUA KUBWA ZAIDI KIROHO

WATUMISHI WA MUNGU TUSIDHARAULIANE

JE, UNAIJUA KARAMA YAKO? By Ev. Elimeleck S Ndashikiwe