SHEREHE YA WATOTO KANISANI
SHEREHE YA WATOTO WA HEMA YA SIFA KANISANI KATIKA PICHA
Shalom Shalom mtu wa Mungu upendwaye sanaHakika tar 13/08/2017 ilikuwa ni siku ya pekee sana kwa watoto wa kanisa la Pentekoste Hema ya Sifa TEGETA KIBAONI, Hakika watoto walipendeza sana tena sana kuliko

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikiwa katika madhabahu kikihudumu katika ibada iliyoambatana na sherehe ya watoto [Picha na Ev. Elimeleck Ndashikiwe]
Sehemu ya waumini waliofurika katika ibada kuungana na watoto wao pamoja kusherehekea sikukuu ya watoto wao.
Watoto wakiwa wametulia pamoja wakisubiri maelekezo kutoka kwa mwalimu wao wajue nini kinachoendelea
Ev. Elimeleck Ndashikiwe alivyojiachia na watoto baada ya sherehe yao iliyofanyika kanisani Hema ya Sifa TEGETA KIBAONI
Watoto wa kanisa la HEMA YA SIFA wakihudumu katika ibada iliyoambatana na sherehe yao kanisani [Katikati wakiwa na mama mchungaji Omery Deo ambaye ndiye mwalimu wao].
Watotot wakiimba katika ibada kanisani wakifurahi pamoja ktk ibada hiyo iliyoambatana na sherehe yao.
Mama mchungaji Omery Deo ambaye ni mwalimu wa watoto kanisani hapo akiimba pamoja na watoto hao ibadani. [Picha na Ev. Elimeleck Ndashikiwe]
Maoni
Chapisha Maoni