MOYO WA KANISA ULIOINAMA
By
Pastor Omery D Shinze
Kanisa la PENTECOST TABERNACLE OF PRAISE, Tegeta Kibaoni.
Shalom mteule wa Bwana upendwaye sana, karibu nikushirikishe ktk somo hili.
Nazungumzia kwa habari ya MOYO WA KANISA ULIOINAMA.
RUMI 8:31-39 ........kutukirimia .........
Kanisa ni mtu Mmoja Mmoja yaani Mimi na wewe,
Moyo wa kanisa ulioinama namaanisha mwanadamu anayeishi akikabiliana na changamoto za maisha, lakini amekata tamaa na MZIGO ndani ya MOYO WAKE.
VKwa sababu ya kuuruhusu uchungu moyoni, Imani ndani yako imetoweka,
......unatengwa na UPENDO wa MUNGU Baba.
TUMECHORWA KTK VITANGA VYA MIKONO YA MUNGU BABA.
Yesu Kristo ni mshindi ametushindia pale Calvary, hakuna awezaye kuwa juu yetu ikiwa Bwana yu upande wetu.
Kazi ya MUNGU inahitaji gharama kuifanya,
lazima ukubali kuacha uvipendavyo vya mwili vinavyoweza kukuondoa kwenye kusudi LA MUNGU.
NB:
Mpingakristo anaijenga DUNIA na anaiandalia Amani na utulivu ili aitawale ikiwa safi.
Mpinga kristo hataitawala DUNIA hii ikiwa chafu.
Daniel 7:1-14 wanyama wanne wakiwa tayari kuitawala DUNIA kabla ya mpinga kristo.
PAMOJA NA KWAMBA DUNIA IMECHAFUKA, LKN BADO WATAKATIFU TUTAISHI NA KULA KWA HAKI,
Mapambano ktk WOKOVU yapo, na mapambano ni usiku na mchana.
Barikiwa sana mteule wa MUNGU,
Somo hili nimekufikishia Mimi Mtumishi wa MUNGU
Ev. Elimeleck Ndashikiwe.
Maoni
Chapisha Maoni