The Pentecost Tabernacle Of Praise Church
found at Wazo Kisanga Dar Es Salaam Tanzania
Established more than 20 years ago with Servant Bishop Ponphace Timothy Mbise.
HEMA YA SIFA KISANGA B
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Huu ni mwaka ambao tumeanza kwa ushindi mno mno, Mungu ametuwezesha zaidi ya fahamu zetu na akili zetu!
IT IS A NEW BEGINNING IN 2024
Matukio katika picha mojawapo ya ibada zetu kanisani.
Na Pas tor Omery Deo Shinze Mwanadamu ana mfumo wa pekee wa maisha au namna ya kuishi tofauti na viumbe wengine wote. Kila iitwapo leo, mwanad amu anayeishi anatamani kuwa na mabadiliko chanya , yaani maendeleo . Tunaporejea kiroho sasa, mwanadamu anahitaji kuchukua hatua ya juu zaidi kuendelea kiroho. VIWANGO VYA KUMJUA MUNGU vinatakiwa kuongezeka kila iitwapo Leo . Hautakiwi kuridhika na hatua uliyonayo au kiwango ulichomo, Mfano, kama ulikuwa ni muimbaji , usiishie tu KUIMBA bali baada ya hapo utoke sasa ukatabiri , ukahubiri , ukafungua vituo vya umishonari ( kanisa ) umtumikie mum kwa viwango vingine vya juu zaidi . MATHAYO 28:19 Hili ni agizo ku u la Kristo kwa kanisa . Mfano, mwanajeshi hadi mwanajeshi kamili huwa anaanzia hatua ndogo ndogo ndiposa baadaye huongeza mazoezi yaliyo bora au magumu zaidi ya yale ya mwanzo. Haijalishi umeomba dakika ngapi na MUNGU hajakujibu , wewe ong...
Bwana YESU atukuzwe ndugu yangu ! Karibu tujifunze Neno muhimu sana. Njia mojawapo ya kukufanya uwe mtumishi mzuri wa MUNGU ni wewe kumtumikia Bwana YESU kwa moyo wa upendo huku ukiwahesabu watumishi wenzako kuwa ni bora kuliko nafsi yako . ''Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; Wafilipi 2:3-5'' Kuwaona watumishi wenzako ni bora kuliko wewe itakusaidia ili usiwe na kiburi na utakuwa unatimiza kusudi la ...
Bwana Yesu Asifiwe Watumishi wa Mungu. Je unakitumia kipawa chako katika kusudi la MUNGU? Kila mmoja wetu kuna kusudi la MUNGU kuwepo kwaka Wokovu wa Bwana YESU . Kila mmoja kuna hatima njema ya MUNGU aliyomkusudia kama akimtii MUNGU . Hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya . Hakuna mtu aliyezaliwa kwa matakwa tu ya mwanaume na mwanamke. Karama ni nini ? Kipawa anachokuwa nacho mtu kwa sababu ya kumwabudu sana MUNGU . Kipawa ni uwezo mtu aliozaliwa nao ambao humwezesha kufanya jambo Fulani vizuri . Kwa sababu kuna kuzaliwa upya kiroho baada ya kuokoka basi kuna vipawa pia huzaliwa baada ya sisi kumpokea Bwana YESU na ROHO MTAKATIFU kuingia ndani mwetu, maana ROHO ndiye ...
Maoni
Chapisha Maoni